KASUMBA

*PS .This post is in Kiswahili. If you don’t understand it and would need a translator just Email me and i will help you out.(kariukijerryl.jk@gmail.com)

Alikuwa amesimama mbele ya wanafunzi wake kwenye gwaride. Kama ilivyokuwa desturi alitoa hotuba yake akamaliza ma wanafunzi wakarudi madarasani mwao wengine wakienda faraghani kuepuka madarasa. Alifahamu fika kuwa walikuwa wakienda nyuma ya maabara ya kemia ma kubo be a katika tote aliyowaonya kuhusu.
  Asubuhi hii ilikuwa  tofauti. Hara baa da ya wanafunzi ma walimu wengine kuondoka. Alibaki amesima kwenye ‘jukwaa’ yake. Maswali yakimzingira ma kujaza fikira zake. Alijikumbuka kama mwanafunzi. Jinsi alivyo pigs da rub in I ma kujiona katika vitabu karna moja baadaye. Alikumbuka alivyotumai kuwaelimisha wengi. Sio kuhusu masomo bali katika maisha.
    Dua lake lilikuwa kubadilisha mtazamo sao kumhusu ma we ng I kama yeye. Alijua kwamba ingawa wengi walijigamba eti waliishi katika karna ya 21 back mitazamo ya kudunisha ilikuwa miongoni mwao.
Mara nyingi alisifiwa kwa kuwa mwanamke tajiri aliyejiendeleza lakini alitaka tau kutambulika kama mtu. aliyejiendeleza. Ni wanaume wangapi walikuwa  wametimiza me ng I kumlika lakini hawakutajwa? Kwa mini mwanamke kufaulu ilikuwa  jambo la kustaajabisha lakini mwanaume no kawaida.
     Akiwa amesima hapo kwa gwaride aliangalia yote aliyokuwa amefanikisha. Alijikumbusha nyuso za wanafunzi wake mia tano na ya ma ana we. Akajipata akimwomba Mola abadilishe mtazamo wao. Waelewe ukweli wa  dunia sip kufumbwa ma mitazamo potovu walizorithi duniani.

#girl16
#diaryof1000girls.

Advertisements

One Comment Add yours

  1. anduvate says:

    I have emailed you

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s